Smoothie ya strawberry na ndizi

Maandalizi; dakika 10
Muda wa kusubiri; masaa 4
Muda jumla; masaa 4 dakika 10

Mahitaji

Vikombe 2 strawberries
Ndizi 1
Vikombe 1½ maziwa
Kikombe 1 mtindi mzito, jinsi ya kutengeneza bonyeza hapa

Maelekezo

Osha matunda

Katakata matunda

Weka matunda kwenye mfuko wa kuwekea chakula kwenye jokofu. Funga, hifadhi matunda kwenye freezer. Yanaweka kukaa hadi miezi 12

Ukiwa tayari kutumia, weka maziwa, mtindi na matunda yaliyoganda kwenye blender au mashine ya kusagia chakula

Saga hadi yalainike vizuri

Enjoy

 

12 Replies to “Smoothie ya strawberry na ndizi”

  1. Asante da jane Mungu akubariki huwezi jua ni kiasi gani una2saidia …ila Mungu aendelee kukupa afya njema 2endelee kujigunza mengi

Leave a Reply