Smoothie ya tikiti maji, ndizi na ndimu

Maandalizi; dakika 10
Muda jumla; dakika 10

Mahitaji

Vikombe 3 tikiti maji
Ndizi mbivu 1
¼ kikombe maji ya ndimu
½ kikombe maji
Kijiko 1-2 vya chakula asali (ukipenda)

Maelekezo

Toa mbegu na kukatakata tikiti maji; gandisha mpaka ukiwa tayari kutumia

Katakata ndizi, kamua maji ndimu

Saga viungo vyote kwenye blender au mashine ya kusagia chakula hadi ilainike

Tenga kama utakavyopenda

Enjoy

 

Leave a Reply