Smoothie ya nanasi, embe na maji ya nazi

Maandalizi; dakika 5
Muda jumla; dakika 5

Maelekezo

Vikombe 1½ nanasi
Vikombe 1½ embe
Vikombe 2 maji ya nazi

Maelekezo

Menya, katakata na gandisha matunda mpaka ukiwa tayari kutumia

Saga viungo vyote kwenye blender au mashine ya kusagia chakula hadi ilainike

Tenga kama utakavyopenda

Enjoy

10 Replies to “Smoothie ya nanasi, embe na maji ya nazi”

  1. Thank you so much Jane, nilijaribu na ulikuwa tamu sana,but ulikuwa na nyuzinyuzi nyingi nadhani ni sababu ya maembe niliyotumia.Swli langu ni je naweza kuweka tui badala ya maji ya Nazi ili nazi isikike zaidi?

Leave a Reply