Dressing ya salad yenye chungwa na tangawizi

Maandalizi; dakika 10
Muda kwa jumla; dakika 10

Mahitaji:

Kijiko 1 cha chai maganda ya chungwa
Maji ya nusu chungwa
Kijiko 1 cha chai tangawizi ya kusaga
Vijiko 2vya chakula apple cider vinegar
Kijiko 1 cha chakula asali
Chumvi na pilipili manga kwa kuonja
¼ kikombe cha chai olive oil

Maelekezo

Kwangua chungwa maganda; kamua maji ya machungwa; twanga tangawizi

Changanya vizuri viungo vyote kwenye bakuli au chupa ya kuchanganyia dressing

Nyunyizia juu ya salad

Enjoy

2 Replies to “Dressing ya salad yenye chungwa na tangawizi”

  1. Thank you mamii, Hakuna kitu Napenda KAMA salad lakini sikuwa najua jinsi ya kuandaa hasa hapa kwenye dressing, unapita blog nyingine ni full kingereza sasa ambao si Wa kingereza fluently tunashindwa, ILA YOUR THE BEST

Leave a Reply