Kitunguu cha kuloweka kwenye maji ya limao (kwa ajili ya kachumbari na salad)

Maandalizi; dakika 5
Muda wa kusubiri; dakika 30
Muda jumla; dakika 35

Mahitaji

Kitunguu 1 kikubwa
½ limao
½ kijiko cha chai chumvi

Maelekezo

Katakata kitunguu kama utakavyopenda; kamua maji limao. Changanya kitunguu, maji ya limao na chumvi. Acha mchanganyiko ukae kwa nusu saa

Chuja majimaji. Tumia kwenye salad, kachumbari au mapishi mengine

Leave a Reply