Tambi za nyama ya kusaga

Maandalizi; dakika 1
Muda wa kupika; dakika 12
Muda jumla; dakika 13

Mahitaji

Gramu 250 tambi
Chumvi kwa kuonja
Maji ya kuchemshia tambi
Majani ya basil
Rosti ya nyama ya kusaga, kwa recipe bonyeza hapa

Maelekezo

Andaa rosti ya nyama ya kusaga kutokana na maelekezo kwa kubonyeza hapa. Ikishakiwa tayari, chemsha tambi kutokana na maelekezo ya kwenye pakiti. Itachukua dakika 8 mpaka 12

Chuja maji tambi, changanya na rosti ya nyama ya kusaga. Ongeza na maji kiasi yakihitajika

Ongeza majani ya basil. Changanya vizuri

Pakua kama utakavyopenda, nyunyizia na jibini/ cheese kwa juu

Enjoy

Leave a Reply