Smoothie ya strawberries na ndizi

Maandalizi; dakika 5
Muda jumla; dakika 5

Mahitaji

Vikombe 2 strawberries, zilizogandishwa
½ kikombe mtindi mzito
½ kikombe maziwa
Ndizi 2 ndogo au 1 kubwa

Maelekezo

Weka viungo vyote kwenye blender

Saga mpaka ilainike vizuri

Enjoy

6 Replies to “Smoothie ya strawberries na ndizi”

Leave a Reply