Salads na Matunda Salad ya kuku na dressing ya asali na apple cider vinegar Salad ni chakula kizuri sana chenye virutubisho vya kutosha. Salad inafaa kuliwa na watu wa kila rika na ni rahisi sana kutengeneza. Utamu wa salad unatokana mara nyingi na aina
Salads na Matunda Kachumbari ya embe na parachichi (mango avocado salsa) Mango-Avocado-Salsa ni kachumbari ya matunda; yani embe na parachichi ikaongezewa na kitunguu maji, pilipili isiyowasha (unaweza kuweka ya kuwasha pia), tangawizi pamoja na maji ya ndimu. Mbali na utamu uliopitiliza,
Yogurt Parfaits; kifungua kinywa cha mtindi, maziwa na cereal Parfaits ni chakula chenye mvuto, kitamu na pia kizuri sana kiafya kutokana na viungo vyenye virutubisho vitumikavyo katika utengenezaji wake. Mbali na uvutiaji na ubora wake, chakula hiki ni rahisi
Kupika Toast rahisi ya parachichi na kuku Toast zinaweza kutengenezwa kwa viungo vingi tofauti kupata radha tofauti. Ni chakula unachoweza kula wakati wowote; asubuhi, mchana au jioni. Toast ni nzuri sana kiafya haswa ukitumia mkate wa brown
Sambusa za manda za siagi za bila kuchoma Sambusa ni kitafunwa maarufu sana nchini Tanzania na Kenya. Ni kitafunwa ambacho unakutana nacho kila mahali; kwenye sherehe na mikutano mbalimbali, mashuleni na maofisini, mahotelini na vibandani.....kila kona unazipata.
Raita; kachumbari bomba sana ya tango na maziwa ya mgando Kwenye vyakula kuna baadhi ya vyakula haviendi bila kachumbari au salad. Fikiria pilau au biryani kwa mfano uile bila kachumbari, hainogi kabisa. Mbali ya hapo kuna kachumbari za aina nyingi
Biryani rahisi sana ya kuku Biryani ni chakula ambacho asili yake kutoka kwa wahindi na waarabu. Ni chakula ambacho mara nyingi huandaliwa siku maalum kama sikukuu, sherehe tofauti, weekends and mikutano ya familia. Chakula hiki
Fruit salad ya asali Fruit salad huandaliwa mara nyingi katika siku maalum kama weekends na familia, siku za sikukuu, siku za shughuli muhimu na kadhalika. Fruit salad hunoga zaidi baada ya kufurahia chakula kizuri,
Minofu ya kuku ya kukaanga na mafuta kiasi Kuku ni ndege anayependwa sana na anakuja na mapishi mengi ya aina tofauti. Minofu ya mapaja ya kuku (chicken thighs) ni nyama laini sana na inapendeza kwenye mapishi tofauti. Leo
Kupika ZEGE - Chipsi mayai yenye mbogamboga ZEGE au chispi mayai ni chakula kilichozoeleka sana kwenye jamii yetu hasa Tanzania na Kenya. Ni street food unayokutana nayo kila kona na kwa bei nzuri. Kumbukumbu yangu ya utoto
Maharagwe ya Curry Maharagwe au mboga ya taifa kwa jina la utani ni mboga pendwa yenye virutubisho vingi sana inayoliwa kila siku kwa karibu kila familia. Mbali na kupendwa sana, kuna wakati unaweza
Kupika Maini ya ng´ombe ya kukaanga makavu Maini ya ng´ombe ni mboga rahisi na tamu kama utaipatia kupika, na pia unaweza kuyachukia endapo utakosea kuipika. Jaribu recipe yatu utupe mrejesho Yaliyomo kwenye ukurasa huu: Mambo ya
Wali wa kukaanga na sausages pamoja na mbogamboga Wali wa kukaanga ni njia mojawapo wa kubadilisha kiporo cha wali na kukifanya chakula fresh kitamu na chenye virutubisho vingi. Viungo vya muhimu katika wali huu kutokana na waanzlishi wake
Kupika Mlenda mkavu (Mzubo, Nswalu, Mkunungu, Ndalu, Ighonda, Msele, Lilende, Mshigino) wa karanga Mlenda mkavu ni mboga ya majani ya kukaushwa na kusagwa inayoliwa na makabila mengi ya Tanzania. Kanda ya ziwa kwa wasukuma wanauita Mzubo, Wanyamwezi wanauita Nswalu, Iringa wanauita Mkunungu, Wanyiramba
Kupika Tambi za nyama ya kusaga/ Fisilli bolognese Tambi za nyama ya kusaga au Fusilli bolognese ni chakula pendwa ambacho asili yake ni nchini Italia. Chakula hiki hipikwa na tambi za kuchemsha zinachangwanywa kwenye rosti ya nyama ya
Kuoka Cookies rahisi za machicha ya nazi na unga wa mahindi Hizi ni cookies zinazohitaji viungo vichache vya kawaida lakini zina ulaini wa kuyeyuka zenyewe mdomoni na radha nzuri sana ya nazi. Ukijaribu hutoacha kuzioka tena Yaliyomo kwenye ukurasa huu: Mambo
Kupika Butter Chicken Butter Chicken ni mboga pendwa ambayo asili yake ni nchini India. Mboga hii hupikwa na minofu ya kuku ndani ya rosti ya nyanya, viungo mbalimbali na siagi. Mboga hii inaweza
Kupika Chapati laini za kuchambuka za maziwa ya mgando/ mtindi Chapati ni chakula pendwa kinachoweza kuliwa wakati wowote; kama kitafunwa cha chai asubuhi na vilevile kama chakula kikuu cha mchana au usiku ambacho unaweza kusindikiza na mboga tofauti au supu
Kuoka Royal Icing; Icing sugar mahsusi kwa kupambia cookies Hakuna kitu kizuri kama kujifurahisha wewe na uwapendao kwa kutengeneza na kupamba cookies nyumbani, haswa katika siku maalum kama birthdays, chirstmas, easter, Eid, mwaka mpya, anniversaries na kadhalika Yaliyomo kwenye
Kuoka Cookies mahsusi kwa ajili ya kupamba Hizi ni cookies unazoweza kuzikata kwa maumbo tofauti na kuzipamba kwa icing sugar tofauti na mapambo mbalimbali. Kwa wenye familia haswa watoto, zinafaa sana kutengeneza pamoja katika vipindi vya sikukuu
Maharagwe ya nazi na binzari ya manjano Maharagwe ni mboga pendwa yenye virutubisho vingi sana inayoliwa karibu kila siku kwa karibu kila familia. Mbali na kupendwa sana, kuna wakati unaweza kuyachoka. Kuepuka kuyachoka, unaweza kubadilisha jinsi unavyoyapika
Kupika Rosti ya nyama ya Mbuzi yenye maziwa ya mgando (mutton curry) Recipe rahisi ya nyama ya mbuzi yenye viungo vinavyosaidia kukata harufu ya mbuzi. Inafaa kuliwa na chakula cha aina yoyote, iwe kama rosti ya biryani kwa siku maalum au mboga
Kupika Kuku mzima wa kuoka Kuku mrahisi anayevutia na kupendezesha meza pia; mahsusi kwa siku maalum au kwa chakula cha kila siku Yaliyomo kwenye ukurasa huu: Mambo ya kuzingatia Video Mahitaji Maelekezo hatua kwa hatua
Kupika Kuku wa kukaanga na viungo vikavu Sidhani kama ninafahamu mtu hata mmoja asiyependa kuku. Kuku anapendwa na watu wengi na pia ana mapishi mengi sana. Karibuni tujaribu wa kukaanga na viungo vikavu kwa leo, hamtojutia kujaribu
Rosti ya maini ya kuku Maini ya kuku ni mboga rahisi sana na tamu kama utaipatia kupika, na pia unaweza kuyachukia endapo utakosea kuipika. Jaribu recipe yatu utupe mrejesho Yaliyomo kwenye ukurasa huu: Mambo ya