Familia

Uzazi na malezi ni jambo la furaha linalokuja na changamoto nyingi. Mtoto haji na muongozo kuhusu malezi yake na kila mzazi anajitahidi kuhakikisha mtoto wake anakua vizuri na kwa mapenzi ya kutosha. Katika ukurasa huu tutajadili pamoja kuanzia ujauzito mpaka kujifungua na malezi ya mtoto; changamoto unazoweza kupitia na vilevile malezi ya mtoto hatua kwa hatua kutokana na umri Unaweza ukaandika kwenye comment chini ni topic gani ungependa kuona tunazijadili

You've successfully subscribed to JikonaJane!
Could not sign up! Invalid sign up link.